Pakua sasa! Saidia watu kote duniani kwa kubadilisha simu yako kuwa lango la Uhuru wa Mtandao! Fungua tu Conduit, na simu yako itasaidia watu kuunganishwa moja kwa moja kwenye mtandao wa Psiphon. Iwe unatumia simu ya zamani au kifaa chako cha kila siku, utakuwa unaleta mabadiliko muhimu — unganisho moja baada ya jingine.